Yakobo 5:14-15.
Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao
wamwombee na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa yule, na Bwana
atamwinua; hata ikiwa amefanya dhambi, atasamehewa.
Kibasila, Muhimbili Hospital leo asubuhi