Baada ya kimya cha muda mrefu,
CHENDANE imezinduka tena na dhamira ya kusonga mbele
Kikao cha 21 kimefanyika Kurasini jumapili.
Hapa ni nyumbani kwa muasisi wa sera ya UPENDO
Upumzike kwa amani Yusuf Abdallah Njenge
Bw, Njenge alijiunga nasi DELMONTE kama dereva February 2012,
amefikwa na mauti Ijumaa 26 April baada ya kuugua tokea February mwaka huu.
Maziko yamefanyika Jumamosi 27 April 2013
Kawawa Road, Machinga Complex asubuhi leo. Tukiwa kwenye foleni Benz hili T583ABP lilianza kufuka moshi kabla ya moto kuanza kujitokeza. Abiria wa kwanza kuchomoka, mheshimiwa mwenye white kulia, baadae dada anaefunga mlango. Dada dereva kama haamini kinachotokea, akiwa bado katulia garini na kufunga mkanda. Sikujua kilichoendelea, lakini hadi foleni inaanza kuruhusu moto ulishashika injini mbele kwenye buti.
Leo Ofisini
Mdau QS Gilbert Martin,
Ni Hepi bethidei yake ya kuzaliwa.
Akifikiria itapita kimya kimya..............
Aah wapi, wadau wengine wakimvutia pumzi tu.
Na taimu ilipotimia wakamshushia suprise la nguvu................. HAPPY BIRTHDAY DEAR GILBERT