Kinyerezi - MajumbaSita Road
Asubuhi
Thursday, March 28, 2013
Wednesday, March 27, 2013
Monday, March 25, 2013
Saturday, March 23, 2013
PHOTOS FROM MORO
Zawadi ya Picha kwa Babu Blogger kutoka Morogoro.
Ni kutoka kwa babu Poulsen, picha zake na nduguze.
Ni kutoka kwa babu Poulsen, picha zake na nduguze.
HEPI BETHIDEI MINOO
Leo 23 Machi 2013 ni Bethidei ya Mdau wetu toka pande za Kinyerezi.
Mdau
AMINA BILLY a.k.a. MINOO
anatimiza miaka kadhaa.
HAPPY BIRTHDAY OUR DEAR MINOO
Thursday, March 21, 2013
JAHAZI KAZI YAKE UVUVI
Mpango wa upendezeshaji wa jiji la Dar Es Salaam.
Jahazi letu pale Uhuru/Msimbazi limetia nanga tayari kwa safari ya uvuvi baharini.
Jahazi letu pale Uhuru/Msimbazi limetia nanga tayari kwa safari ya uvuvi baharini.