Total Pageviews

Wednesday, March 27, 2013

Monday, March 25, 2013

MIRIAM - MORE PHOTOS

 
 
 
 
 
Jana nyumbani kwetu
hatimae ana kwa ana na Babu
Miriam Msalya Billy.

MAFURIKO


 
 
 
Baadhi ya kasheshe zilizoambatana na Mafuriko yaliyozuka jana kwetu Kinyerezi

STENDI YETU

Stendi yetu, MajumbaSita - Kinyerezi/Segerea jana jioni baada ya mvua

MAMBO YA MNYORORO

Hii ni namna mnyororo wa leo ulivyokuwa.
JNI Airport - Tazara, Main Road na service road

UJUMBE MWINGINE TOKA DALADALA


Uchakavu wa mahakama, siyo mwisho wa hukumu
Nyerere Road,Ukonga Magereza jana jioni

BABU UNVEILED

At last
I have to introduce to you
Babu
MIRIAM KOLLE MSALYA BILLY
Born 12 March 2013

Saturday, March 23, 2013

DELMONTE - TUNASONGA MBELE

Kazi nyingine ya Delmonte (T) Ltd.
TOTALGAZ Station
Mbezi - Africana
Bagamoyo Road

PHOTOS FROM MORO

 
 
 
 
 
 
 
Zawadi ya Picha kwa Babu Blogger kutoka Morogoro.
Ni kutoka kwa babu Poulsen, picha zake na nduguze.

HEPI BETHIDEI MINOO

Leo 23 Machi 2013 ni Bethidei ya Mdau wetu toka pande za Kinyerezi.
Mdau 
AMINA BILLY a.k.a. MINOO
anatimiza miaka kadhaa.
HAPPY BIRTHDAY OUR DEAR MINOO

Thursday, March 21, 2013

JAHAZI KAZI YAKE UVUVI

Mpango wa upendezeshaji wa jiji la Dar Es Salaam.
Jahazi letu pale Uhuru/Msimbazi limetia nanga tayari kwa safari ya uvuvi baharini.