Total Pageviews
Friday, August 31, 2012
Thursday, August 30, 2012
NI MWEZI MUHIMU KWA WADAU WETU WA DODOMA
Kwaheri August,
Karibu September.
Kwa Wadau wetu wa Dodoma, huu ni mwezi wenye kumbukumbu ya aina yake.
Unawakumbuka Kulwa na Dotto waliozaliwa tarehe tofauti???Ndivyo ilivyo kwa Mapacha hawa
01 SEPTEMBA
"Kulwa" MASEKE MGABHO
anatimiza miaka kadhaa
02 SEPTEMBA
"Dotto" SARAH MSALYA MASEKE
nae anatimiza miaka kadhaa
Na
11 SEPTEMBA
Ndoa ya Mapacha hawa inafikisha miaka kadhaa
HAPPY HAPPY ANNIVERSARIES WADAU MASEKE & SARAH
Wednesday, August 29, 2012
HUU SI UUNGWANA HATA KIDOGO
Jumanne, Mnazi mmoja
Serikali imekuwa inawahimiza watu wake kujiajiri.
Bodaboda imekuwa njia mojawapo ya vijana wengi kujiajiri. Lakini cha kustaabisha serikali hiyohiyo imekuwa mbele kuwasumbua na kuwanyanyasa badala ya kuwaelimisha.
Hawa nao ni watanzania wanayo haki ya kufanya shughuli zao popote ilimradi hawavunji sheria.
Iweje sasa kuingia mjini ni kosa???????
Mbaya zaidi waliopewa kazi ya kusimamia sheria ya Bodaboda kutoingia mjini tunaweza kusema wapowapo tu.........
Hawana vitambulisho,
Hawana mavazi rasmi ya utambuzi,
Wana Lugha chafu..........
Hakika huu si uungwana wanaofanyiwa Bodaboda.
Picha from my Nokia
Tuesday, August 28, 2012
Friday, August 24, 2012
Thursday, August 23, 2012
Wednesday, August 22, 2012
Tuesday, August 21, 2012
TAKE CARE OF YANGEYANGE
Take care barabarani, jamaa wamerudi toka sikukuu na njaa
Huyu ni mmoja wa waliowekwa pembeni asubuhi ya leo.
Nyerere Road, banda la Ngozi
Monday, August 20, 2012
Sunday, August 19, 2012
Saturday, August 18, 2012
MDAU KULWA MALEMBO ANAUMWA
Mdau wetu
Kulwa Malembo ameshambuliwa na shinikizo la damu usiku wa kuamikia Sabato.
Anaendelea kupata matibabu nyumbani kwake Kitunda Tsunami.
Tunaombeni DUA zenu
Wadau mbalimbali wamefika leo kumjulia hali
Thursday, August 16, 2012
DINNER INVASION
Unapokuta share yako haimo, lakini msosi ni Ugali kwa Dagaa, Nyanya chungu na Bamia utafanyaje?
HAKUNA JINSI, UNAVAMIA HIVO HIVO NA KUWAACHA WENYE NACHO WAAMBULIE MAJI
Wednesday, August 15, 2012
Tuesday, August 14, 2012
Sunday, August 12, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)