Total Pageviews

Sunday, November 18, 2012

MAGARI MENGINE BWANA..

 hayaendi hadi yabembelezwe kwa kupewa uji
leo Kitunda

WADAU KITUNDA TSUNAMI








Jumapili, Kitunda Tsunami
Fursa nzuri ya kumtembelea Beria baada ya kurudi kupeleka Msiba huko Bwasi, Majita
Wadau wengi wakakutanishwa hapa leo

sapa

"SUPPER" leo imetukuta Kitunda

MACHINGA

Machinga Complex kwa ajili ya Machinga
Lakini sivyo ilivyo sasa
Machinga wanalazimika kutafuta sehemu nyingine kwa ajili ya kujipatia riziki.
Ama kweli Riziki popote.
Jana jumamosi jioni

Saturday, November 17, 2012

NI HAPPY BETHIDEI YA KUZALIWA MDAU ....

17 NOVEMBA 
Leo ni siku Maalum ya mdau wetu
MANYORI BILLY
Miaka kadhaa iliyopita, alizaliwa pale Bagamoyo
HAPPY BIRTHDAY ANNIVERSARY OUR BELOVED

Wednesday, November 14, 2012

BONGO YETU I NJEMA, ILIMRADI KAZI NI KAZI

 LandScaping
 Animal feeds
 City Cleaning
 Network and communications
 taxis

 Waste oils
 Bodaboda
bajaj
Angalia Bongo yetu ilivyo njema
Bora una uwezo wa kuchapa mzigo wowote,
Hapa ndio pahala pake pa kubanana.
Ili mradi kazi ni kazi.................
Kawawa Rd, Leo mchana

Monday, November 12, 2012

MDAU HATARI

Mdau Hatari Nyakujerwa
a.k.a. Danger
a.k.a. Teacher
Footballer mstaafu
Kocha Mahiri mitaa ya Uswazi kwetu Kurasini Shimo la Udongo

KWA MDAU TITUS



 Kwa Mdau Titus Gunze, Mbagala jana
ilikuwa tuwe na kikao hapa cha kujitambulisha mgeni mmoja hivi, lakini kwa sababu zisizozuilika haikuwa.

TUPIGE PICHA

 

Niliombwa niwapige picha.
Hivyo nakabiliwa na changamoto ya kuifikisha hii picha kwao.

MIPANGO MIJI YETU


 
Mbagala jana
Tunayo changamoto kubwa ya mipango miji yetu

YALE YALE ALIYOYAIMBA DIAMOND

 
Sipati picha,
uwe unakaa nyumba hii
chumba hiki............
Ama kweli Mbagala,
hapa nyumba hapa jalala

LAMI YA KWETU

 Uswazi kwetu mambo ni Supa
Lami hadi mitaa ya kati.
Mbagala jana

NGUMU KUMEZA

Yataka moyo kupiga funda la Konyagi
Mr Danger
Mbagala jana

Sunday, November 11, 2012

HONGERA ERICK


Jana usiku.
Kinyerezi
Nimealikwa jana kwenye mnuso wa Kipaimara kwa jirani yangu.
Kijana wake Eric Frank akipamarika.
Mdau CK alikuwa miongoni mwa wapambn ati.
HONGERA ERIC

Saturday, November 10, 2012

MATUMAINI MAPYA...

Kuamuka mapema na matumaini mapya...........
Mdau Minoo
Asubuhi hii, kwetu Kinyerezi

KUZALIWA UPYA

Kuweza kuingia katika ufalme wa Mungu lazima tuzaliwe upya katika kiroho. Imeandikwa, Yohana 3:3-8 "Yesu akajibu akawaambia, amini amini nawaambia, mtu asipozaliwa mara ya pili hawezi kuuwona ufalme wa Mungu. nikodemo akamwambia awezaje mtu kuzaliwa akiwa mzee? aweza kuingia tumbini mwa mamaye mara ya pili akazaliwa? Yesu akajibu amini, animi nakwambia mtu asipo zaliwa kwa maji na kwa Roho hawezi kuiingia ufamle wa Mungu kilichozaliwakwa mwili ni mwili, kilichozaliwa kwa Roho ni roho usistaajabu kwa kuwa nilikwambia hamna budi kuzaliwa mara ya pili, upepo huvuma upendako, na sauti yake waisikia lakini hujui unakotoka wala unakokwenda kadhalika na hali yake kila mtu aliye zaliwa kwa Roho."

Sabato ya leo hii,
Mdau wetu, MSALYA BILLY atazaliwa upya kunako kanisa la Waadventista Wasabato Kinyerezi. 

ABCD...........

ABCDEF........
Kwetu Kinyerezi jana usiku

Friday, November 9, 2012