Msalya-myfamily
Sunday, July 24, 2011
VEKESHENI IN MIKUMI FROM SARAH'S OLYMPUS
Saturday, July 23, 2011
HIGHLIGHTS OF MDAU AT MZUMBE COLLEGE
Mdau Mama Karen majuzi amemaliza mitihani yake ya mwisho pale Mzumbe University College
Hapa nawawekea highlights za photo taken at Mzumbe
Makazi ya mdau
view of Uluguru mountains
Mdau alikuwa mwanamichezo, na mtaalamu kwenye benchi la ufundi
in library
tee tee discussions after lectures
Tuesday, July 19, 2011
MAMA CHAIBORA AMELAZWA
Mama Chai amelazwa
Tatizo ni Malaria
KWETU KINYEREZI
Hapa ndiyo kwetu Kinyerezi
Jumapili chache niwazo home huwa napata nafasi ya kuweka post za Blog
Time zingine tunapata wageni
twakaa nao
Na kubadilishana mawazo
Wageni wengine huwa wanafika kusaidia pia mambo yasiyoenda vema
Niwapo mezani, nadra sana kukosa kampani
Na wakati mwingine hupata vingekewa kama hivi vya keki
Na msosi huwa pia unabadilika japo kidogo kuwa maharage/mlenda badala ya watoto wa mama
huwa ni full kujichana
na full kipupwe
KARIBU KINYEREZI WEEKEND MOJA TUFURAHI PAMOJA
‹
›
Home
View web version