Jana ilikuwa mwendelezo wa vikao vya wanandugu, kwa sababu zisizozuilika kikao kilihamia Gongo la Mboto badala ya mipangilio ya awali ya kukutana Ubungo.
Ramani ilikuwa hivi
Panda Gari la Gongo la Mboto,
Shukia Mzambarauni,
Upande huo huo ulioshukia fuata njia ya kwenda kanisa la Waadventista Wasabato
Mbele kidogo welekeo wa Barabara ya Mazizini utaona mchongoma mkubwa
Mbele kulia kuna kichochoro kupitia kwenye tairi la gari......................Utaulizia kwa SOS aka Baba Kevin
Ni Ukonga/Mazizi No 446
wageni wakawasili salama...........
Pamoja na dharura ya kutokuwepo Mwenyeji Bw. Sos, Mama Kevin alikuwepo kuwakaribisha wageni
Baada ya kikao cha saa moja, ilikuwa ni wakati wa kuondoka.........
Kuteta kidogo kwa hapa na pale.......................
Inapendeza kwa sana
KIKAO CHETU KINACHOFUATA KITAKUWA NDANI YA UBUNGO JUMAPILI YA TAREHE
27 MACHI 2011
27 MACHI 2011
Jina la Chama je????????????
SILAS AND JOSIA FOUNDATION
au
UPENDO FOUNDATION
au
Pendekezo lako.......................................................................????