Thursday, August 19, 2010

MSALYA ANNIVERSARRY: 1895 - 04 JUNE 1966(luncheon)

Ilikuwa sasa ni zamu ya pilika pilika za maandalizi ya lunch ya mchana
Na kila mmoja aliwajibika ku play his/her part
kazi na dawa, wakati mwingine watu walipumzika kulainisha makoo, kabla ya mambo ya luncheon kuanza
kila lika kwa nafasi walishiriki luncheon hili la kumbukumbu



Tuesday, August 10, 2010

SALAMU ZA WADAU TOKA JAPAN

3Ps, Penina, Pricila & Peter
WADAU WAMEPATA HABARI YA MSHIKAKI PALE MOROGORO, NA KWA VILE WANAJIANDAA ANDAA KUREJEA, WAMESEMA KWA SASA NI TIZI MTINDO MMOJA NIMESHINDA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Monday, August 9, 2010

MSALYA ANNIVERSARRY: 1895 - 04 JUNE 1966 (NAKATUBA ENZI HIZO)

Members wa vekesheni walidodosa dodosa kupata historia ya Nakatuba na namna Chisaka Msalya alivyojulikana katika jamii.Nakatuba wakati huo Wana jamii walihudhuria kushuhudia tukio hili ........
Gomborojo
...................Makongo, Aristariko.........
.............Makoroma kwa mbali kule.................
...............Mururi, Manyama................
...................Mwenyekiti mstaafu..........................
.........Makoroma, Musimu, Wembe...............
wote hawa walikuwa mashuhuda
Naamini Mwana Sheria kule Mtwara atakapokuwa amekamilisha compilation ya yale yaliyopatikana kutoka kwa wale waliomfahamu Msalya na Nakatuba ya wakati huo, ataweza kuwasilisha kwa ajili ya wadau wote kupata historia kamilifu kwa vizazi vya sasa na vile vijavyo.

Saturday, August 7, 2010

MSALYA ANNIVERSARRY: 1895 - 04 JUNE 1966 (BEACON 2)

kumbukumbu zangu Beacon hii itakuwa ipo kati ya makaburi ya Ms Nyamalelo Better na Mnyaga.
Wote wapumzike kwa amani
Na hivi ndivyo alama hii ya ukumbusho itakavyoonekana kwa miaka kadhaa ijayo kwa ajili ya kumbukumbu ya vizazi zijavyo.


MSALYA ANNIVERSARRY: 1895 - 04 JUNE 1966 (BEACON)

Ujenzi wa Beacon, kwa ajili ya kumbukumbu ya vizazi vijavyo.
RIP Chisaka Msalya Maseme,
1895 to 04 June 1966.


Wadau Afande Msalya Tall, Mzee wa makamuzi Makubhi na Dr Jackson walikuwepo kushuhudia uwekaji wa alama hii.


Mwenyekiti hakucheza mbali kuhakikisha kila kitu kinakwenda kama vile ilivyopitishwa kwenye maamuzi ya kikao cha Mkutano mkuu wa wadau wa Msalya-My Family


Wednesday, August 4, 2010

AHSANTENI WADAU

WADAU 3CKs
WADAU KUTOKA KWA MWALIMU KULE BUNDA
MDAU HUYU KUTOKA UK, ALIKUWEKO VEKESHENI NAKATUBA:
"Dr George baadae ukishapitia makala hii unaweza kutuhabarisha namna hii inakuwaje, Maana mdau huyu ana miaka saba tu, lakini alama zote za uutu uzima zimekwisha mfika isipokuwa kimo tu."
WADAU KWENYE VEKESHENI HUKO NAKATUBA MINOO NA MM.....
MDAU MACHACHARI WA UBUNGO DAR ES SALAAM, BI MKUBWA Bjnr
WADAU KAREN, PENINA NA SHALOM KUTOKA DODOMA
MDAU AFANDE MSALYA TALL, MDAU TOKA MWANZA